• Ajira
  • Maswali
  • Wasiliana Nasi
  • English

Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaWakala ya Majengo Tanzania

  • kuhusu Sisi
    • Ujumbe kutoka kwa Mtendaji Mkuu
    • Sisi ni Nani
    • Dira na Dhamira
    • Tunafanya Nini
    • Mikakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Utawala
    • Bodi ya Ushauri
    • Kurugenzi wa Uwezeshaji wa Huduma
    • Kurugenzi ya Ushauri
    • Kurugenzi ya Miliki
    • Meneja wa Mikoa
  • Nyumba
    • Nyumba za Kuuza
    • Nyumba za Kupangisha
    • Fomu ya ununuzi wa Nyumba
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Iliyo Katika usanifu
    • Miradi Tunayotegemea kufanya
  • Machapisho
    • Machapisho
  • Kituo Cha Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Ununuzi
    • Mpango wa Manunuzi wa Mwaka
    • Mialiko ya zabuni
    • Orodha ya Wazabuni Walioshinda

Habari Mpya

  • Watumishi wa Umma Mkoani Mbeya wavutiwa na Mradi wa Nyumba Bunju

    3 months ago
  • Wengi wavutiwa na Banda la TBA Nanenane Simiyu

    5 months ago
  • TBA yashiriki Maonyesho ya Nanenane

    5 months ago
  • TBA yapata Tuzo katika Maonyesho ya 42 ya Sabasaba

    5 months ago

Latest Press Release

  • Wapangaji Nyumba za Wakala wa Majengo Tanz... Jan 29, 2019

  • Taarifa kwa vyombo vya habari

    Dec 04, 2017

TBA yashiriki Maonyesho ya Nanenane

Imewekwa: Wednesday 12, September 2018

Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) imeshiriki katika Maonyesho ya 25 ya Kilimo, Ufugaji na Uvuvi Kitaifa (Nanenane) yalifanyika katika viwanja vya Nyakabindi-Bariadi mkoani Simiyu kuanzia Agosti 3 hadi Agosti 11, 2018.

Lengo kuu la kushiriki Maonyesho hayo ilikuwa ni kujitangaza, kutoa elimu juu ya huduma inazotoa pamoja na kukutana na wadau mbalimbali wakiwemo washitiri ili kuongeza na kufungua fursa mpya za kibiashara na huduma inazozitoa

Katika Maonesho haya TBA ilifanikiwa kushinda zawadi ya mshindi wa kwanza kwenye kipengele cha “Wakala wa Serikali”. Kauli mbiu ya Maonyesho ilikuwa “Wekeza katika kilimo, mifugo na uvuvi kwa Maendeleo ya Viwanda”.

Tanzania Buildings Agency
Opposite karimjee Hall,P.O.Box 9542 Dar es Salaam Tanzania
Nukushi : +255 22 2114143
Namba ya Simu : +255 22 2122163/ 2117114
Barua Pepe : ce@tba.go.tz/ info@tba.go.tz

Linki za Haraka

  • Nyumba Zinazouzwa
  • Mpango Mkakati wa 2012-2017
  • Vipeperushi
  • Kanuni
  • Sheria

Linki Linganifu

  • Tume ya Ajira
  • Tume ya Takwimu ya Taifa
  • Utumishi
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
  • Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano
  • Sera ya Faragha
  • Mikatazo
  • Maswali
  • Ramani Ya Tovuti
  • Staff Mail

©2019 wakala ya majengo tanzania . Haki zote zimehifadhiwa..

Imesanifiwa, Imetengenezwa na Wakala ya Serikali Mtandao.Inaendeshwa na Wakala ya Majengo Tanzania