Kikao cha Kamati ya Ukaguzi ya Wakala wa Majengo Tanzania (TBA)
Imewekwa: Friday 18, December 2020
Mtendaji Mkuu wa TBA Arch. Daud Kondoro akizungumza jambo katika Kikao cha kuiaga Kamati ya Ukaguzi ya TBA iliyomaliza muda wake. Kikao hicho kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa TBA Dar es Salaam Desemba 16, 2020.