Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wakala wa Majengo Tanzania (TBA)

Mradi wa Ujenzi wa Nyumba za Makazi Awamu ya Kwanza katika eneo la Magomeni Kota, Dar es Salaam

Imewekwa: 22 Desemba, 2025
Mradi wa Ujenzi wa Nyumba za Makazi Awamu ya Kwanza katika eneo la Magomeni Kota, Dar es Salaam

Taarifa za Mradi

Mshitiri/Mteja : Mtendaji Mkuu Wakala wa Majengo Tanzania S.L.P 94 Dodoma

Gharama : Billioni 52.1

Aina ya Mradi : Design and Build

Eneo / Mahali : Magomeni Dar es Salaam

Muda wa Mkataba : Miaka Mitano


Taarifa zaidi za Mradi

Mradi unahusisha Majengo 5 ya ghorofa za Makazi yanayochukua jumla ya Kaya 644.Unajumuisha nyumba za vyumba 3 vya kulala, vyumba 2 vya kulala na chumba kimoja cha kulala, zikiwa na huduma za pamoja kama vile lifti, viwanja vya michezo kwa watoto, maegesho ya magari na maduka ya biashara yaliyo karibu

slot gacor