MAKATIBU NA MANAIBU KATIBU WAKUU WA WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI WAKIFUATILIA HOTUBA YA WAZIRI WA UJENZI NA UCHUKUZI, MHESHIMIWA PROF. MAKAME MNYAA MBARAWA (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MPANGO NA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA WA FEDHA 2022/23, MAPEMA LEO MEI 23, 2022.