Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wakala wa Majengo Tanzania (TBA)

Ujenzi wa Ghorofa la Makazi ya Watumishi wa Umma Magomeni Quater Phrase II (Block C & D) Kinondoni Dar es Salaam.

Imewekwa: 03 July, 2025
Ujenzi wa Ghorofa la Makazi ya Watumishi wa Umma Magomeni Quater Phrase II (Block C & D) Kinondoni Dar es Salaam.

Taarifa za Mradi

Mshitiri/Mteja : Mtendaji Mkuu Wakala wa Majengo Tanzania

Gharama : Tzs. 11.3 Bilion

Aina ya Mradi : Design and Build

Eneo / Mahali : Dar es Salaam

Tarehe ya kuanza : 2023-11-12

Tarehe ya Kumaliza : 2025-02-11

Taarifa zaidi za Mradi

Ujenzi wa Nyumba za Makazi  Block C&D  Magomeni Kota Dar es Salaam.