RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKIWA NA MAKAMU WA RAIS MHE. DKT. PHILIP ISDOR MPANGO, RAIS WA ZANZIBAR MHE. DKT. HUSSEIN ALI MWINYI, WAZIRI MKUU MHE. KASSIM MAJALIWA, MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR MHE. HEMED SULEIMAN ABDALLA PAMOJA NA RAIS MSTAAFU MZEE ALI HASSAN MWINYI WAKATI AKIKATA UTEPE KUASHIRIA UFUNGUZI WA JENGO LA IKULU YA CHAMWINO MKOANI DODOMA TAREHE 20 MEI, 2023.