Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wakala wa Majengo Tanzania (TBA)

HAFLA YA KUKABIDHI JENGO LA OFISI YA MKUU WA WILAYA YA BUTIAMA - MARA

19 August, 2022 - 25 July, 2025
10:30:00 - 00:40:00
Butiama, Mara
barua@tba.go.tz or 0733483437

Ofisi ya TBA Mkoa wa Mara imekabidhi jengo la Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Butiama lililobuniwa na kujengwa na TBA Mkoani Mara. Hafla hiyo ya makabidhiano imefanyika leo Julai 25, 2025 ambapo upande wa mshitiri ukiwakilishwa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara Mhe. Gerald Kusaya na upande wa TBA ukiwakilishwa na Meneja wa TBA Mkoa wa Mara Arch. Jeje Jeje.

HAFLA YA KUKABIDHI JENGO LA OFISI YA MKUU WA WILAYA YA BUTIAMA - MARA