• Maswali
  • Wasiliana Nasi
  • English

Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaWakala wa Majengo Tanzania

  • kuhusu Sisi
    • Ujumbe kutoka kwa Mtendaji Mkuu
    • Sisi ni Nani
    • Dira na Dhamira
    • Tunafanya Nini
    • Mikakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Bodi ya Ushauri
    • Muundo wa Taasisi
    • Senior Management
    • Kurugenzi wa Uwezeshaji wa Huduma
    • Kurugenzi ya Ushauri
    • Kurugenzi ya Ujenzi
    • Kurugenzi ya Miliki
    • Meneja wa Mikoa
  • Nyumba
    • Nyumba za Kuuza
    • Nyumba za Kupangisha
    • Fomu ya Ununuzi wa Nyumba
    • Fomu ya ununuzi wa Nyumba
  • Miradi
    • Miradi Tunayoishikilia
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Iliyo Katika usanifu
    • Miradi Tunayotegemea kufanya
  • Machapisho
    • Machapisho
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
  • Ununuzi
    • Mpango wa Manunuzi wa Mwaka
    • Mialiko ya zabuni
    • Orodha ya Wazabuni Walioshinda

Habari Mpya

  • SERIKALI YAFUNGUA MILANGO YA UWEKEZAJI KWENYE UJENZI WA NYUMBA ZA MAKAZI

    tokea mwezi 1
  • MENEJIMENTI YA TBA YAHIMIZWA KUKUTANA MARA KWA MARA.

    tokea mwezi 1
  • TBA YAKUTANA NA WAWEKEZAJI KUTOKA JAPAN.

    tokea mwezi 1
  • TBA NA ZBA KUENDELEZA MASHIRIKIANO

    tokea mwezi 1

Latest Press Release

UTANGULIZI

Vitengo na Sehemu: Idara ya Ushauri inaongozwa na Mkurugenzi wa Ushauri, ambaye anasaidiwa kusimamia na kutekeleza majukumu ya Idara kwa ushirikiano wa Kitengo cha Uratibu wa Miradi, Sehemu ya Ubunifu, Sehemu ya Uhandisi na Sehemu ya Ukadiriaji Majenzi zinazoongozwa na Wakuu wafuatao:-

i. Mratibu wa Miradi

ii. Mbunifu Majengo Mkuu,

iii. Mkadiriaji Majenzi Mkuu,

iv. Mhandisi Majengo Mkuu,

Majukumu Kitengo cha Uratibu wa Miradi.

Kitengo cha Uratibu wa Miradi kina jukumu la kuhakikisha upatikanaji wa taarifa za miradi inayosimamiwa na Wakala zinapatikana ili kuandaa na kuwasilisha taarifa zote za kisera. Aidha, kitengo pia kinafuatilia maendeleo ya miradi kupitia Timu za miradi ikiwemo ile inayosimamiwa na mikoa.

Aidha, Kitengo kimepewa jukumu la kuratibu shughuli zote zinazofanywa na Ofisi za Mameneja wa Wakala wa Mikoa yote ya Tanzania Bara.

Majukumu makuu ya kila Sehemu (section) ni kama ifuatavyo;

Sehemu ya Ubunifu Majengo, inalo jukumu la kufanya ubunifu Majengo mapya na yale ambayo yanahitaji ukarabati, pamoja na kusimamia ujenzi au ukarabati katika Majengo ya Wizara au Taasisi za Serikali.

Sehemu ya Uhandisi Majengo, hufanya Ubunifu wa Kihandisi wa Majengo na kusimamia ujenzi wa Majengo mapya na yale ambayo yanahitaji ukarabati. Pia kitengo hufanya ukaguzi wa miradi ili kubaini upungufu wa viwango katika Ubunifu wa Kihandisi na usimamizi wa Ujenzi, kwa miradi ya Serikali ambayo inashughulikiwa na washauri wengine.

Sehemu ya Ukadiriaji Majenzi inalo jukumu kuu la uandaaji wa makabrasha ya zabuni na ya utekelezaji wa ujenzi, vilevile Bajeti za miradi na ushauri kwenye udhibiti wa gharama za ujenzi.

WAJIBU WA IDARA:

Wajibu wa Idara ya Ushauri, Wakala wa Majengo Tanzania, ni kutoa Ushauri Elekezi kwa Wizara na Taasisi mbalimbali za Serikali katika fani zifuatazo;

i. Ubunifu Majengo

ii. Ukadiriaji majenzi

iii. Uhandisi Majengo

Huduma zinazotolewa ni;

i. Ushauri Elekezi katika hatua ya Upembuzi yakinifu,

ii. Ushauri Elekezi katika hatua ya Uandaaji wa michoro,

iii. Ushauri Elekezi katika hatua ya Uandaaji wa Makabrasha ya Zabuni na Mikataba,

iv. Ushauri Elekezi katika hatua ya utekelezaji wa Ujenzi au Ukarabati.

v. Usimamizi wa Shuguli za Ujenzi (Projects Management).


Tanzania Census 2022

Mawasiliano yetu

TBA
THE CHIEF EXECUTIVE, TANZANIA BUILDINGS AGENCY (TBA), 13 MOROGORO ROAD, P.O BOX 94, 41102 VIWANDANI, DODOMA TANZANIA, EMAIL: ce@tba.go.tz Website: www.tba.go.tz
Nukushi :
Namba ya Simu : +255 733 483 437, +255 677 108 010
Barua Pepe : barua@tba.go.tz

Linki za Haraka

Linki Linganifu

  • WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
  • Utumishi
  • Tume ya Takwimu ya Taifa
  • Tume ya Ajira

©2025 wakala wa majengo tanzania . Haki zote zimehifadhiwa..

Imesanifiwa, Imetengenezwa na Mamlaka ya Serikali Mtandao.Inaendeshwa na Wakala ya Majengo Tanzania

Tanzania Census 2022