Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wakala wa Majengo Tanzania (TBA)

Huduma za Ujenzi

Imewekwa: 13 September, 2024

Kurugenzi ya Ujenzi inatoa Huduma zifuatazo:

(a)    Ujenzi wa nyumba na majengo mapya ya Serikali;
(b)    Ukarabati wa nyumba na majengo ya Serikali;
(c)    Kuendesha Karakana za Serikali kwa ajili ya uzalishaji wa samani na vifaa vya ujenzi kwenye miradi ya TBA

 

 

Huduma za Ujenzi