Ujenzi wa nyumba 150 za makazi Awamu ya kwanza Eneo la Nzuguni Dodoma.
Ujenzi wa nyumba 150 za makazi Awamu ya kwanza Eneo la Nzuguni Dodoma.
Imewekwa: 30 Desemba, 2025
Taarifa za Mradi
Mshitiri/Mteja : Mtendaji Mkuu Wakala wa Majengo Tanzania S.L.P 94 Dodoma
Gharama : Billioni 14.37
Aina ya Mradi : Design and Build
Eneo / Mahali : Nzuguni Dodoma
Muda wa Mkataba : Mwaka Mmoja
Taarifa zaidi za Mradi
Mradi unahusisha ujenzi wa nyumba 150 za makazi zenye vyumba vitatu vya kulala kwa ajili ya kupangishwa.