Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wakala wa Majengo Tanzania (TBA)

Ujenzi wa Nyumba za Makazi ya Watumishi wa Umma (Block 2 & 3) eneo la Canadian Masaki Dar es Salaam.

Imewekwa: 04 July, 2025
Ujenzi wa Nyumba za Makazi ya Watumishi wa Umma (Block 2 & 3) eneo la Canadian  Masaki Dar es Salaam.

Taarifa za Mradi

Mshitiri/Mteja : TBA

Gharama : Tsh. Billioni 12.3

Aina ya Mradi : Design and Build

Eneo / Mahali : Masaki - Dar es Salaam

Tarehe ya kuanza : 2023-01-05

Tarehe ya Kumaliza : 2025-01-06

Taarifa zaidi za Mradi

Ujenzi wa Nyumba za Makazi ya Watumishi wa  Umma eneo la Canadian Msaki Jijini Dar es Salaam.Construction