Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wakala wa Majengo Tanzania (TBA)

Ujenzi wa Nyumba za Makazi ya Watumishi wa Umma (Block 1 & 2) eneo la Ghana Ilemela Mwanza.

Imewekwa: 03 July, 2025
Ujenzi wa Nyumba za Makazi ya Watumishi wa Umma (Block 1 & 2) eneo la Ghana Ilemela Mwanza.

Taarifa za Mradi

Mshitiri/Mteja : Mtendaji Mkuu Wakala wa Majengo Tanzania

Gharama : Tsh. 7.7 Billioni

Aina ya Mradi : Design and Build

Eneo / Mahali : Mwanza

Tarehe ya kuanza : 2023-01-20

Tarehe ya Kumaliza : 2024-12-31


Taarifa zaidi za Mradi

Ujenzi jengo la Makazi kwa Watumishi wa Umma  lenye uwezo wa kuchukua familia 14.