Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wakala wa Majengo Tanzania (TBA)

Ujenzi wa Nyumba za Makazi Simeone Arusha.

Imewekwa: 10 July, 2025
Ujenzi wa Nyumba za Makazi Simeone Arusha.

Taarifa za Mradi

Mshitiri/Mteja : Mtendaji Mkuu Wakala wa Majengo Tanzania.

Gharama : Tsh. 6.865Bilioni

Aina ya Mradi : Design and Build

Eneo / Mahali : Arusha

Tarehe ya kuanza : 2022-01-08

Tarehe ya Kumaliza : 2023-01-08


Taarifa zaidi za Mradi

Ujenzi wa Nyumba za Makazi za Kibiashara Simeone Arusha.