Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wakala wa Majengo Tanzania (TBA)

Mradi wa Ujenzi wa Jengo la Makao Makuu ya RUWASA katika Kiwanja Na. 1, Block “BB”, Eneo la Uwekezaji, Njedengwa, Jijini Dodoma

Imewekwa: 12 Machi, 2026
Mradi  wa Ujenzi wa Jengo la Makao Makuu ya RUWASA katika Kiwanja Na. 1, Block “BB”, Eneo la Uwekezaji, Njedengwa, Jijini  Dodoma

Taarifa za Mradi

Mshitiri/Mteja : Mkurugenzi Mkuu, Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA), S.L.P 412, 40473 Dodoma.

Gharama : Billioni 24.92

Aina ya Mradi : Design and Supervision

Eneo / Mahali : Dodoma

Muda wa Mkataba : Miezi Ishirini na Nne

Taarifa zaidi za Mradi

Mradi wa Ujenzi wa jengo la Makao Makuu ya Ruwasa katika Kiwanja Na. 1 Block ''BB'' Eneo la Uwekezaji, Njedengwa Jijini Dodoma.