Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wakala wa Majengo Tanzania (TBA)

Utoaji wa Huduma za Ushauri Elekezi kwa Mradi wa Ujenzi wa Jengo la Makao Makuu ya Ofisi ya Taifa ya Mashtaka katika Eneo la Njedengwa, Jiji la Dodoma.

Imewekwa: 12 Machi, 2026
Utoaji wa Huduma za Ushauri Elekezi kwa Mradi wa Ujenzi wa Jengo la Makao Makuu ya Ofisi ya Taifa ya Mashtaka katika Eneo la Njedengwa, Jiji la Dodoma.

Taarifa za Mradi

Mshitiri/Mteja : Naibu Mkurugenzi, Ofisi ya Taifa ya Mashtaka, S.L.P 1733, Dodoma.

Gharama : Bilioni 18.77

Aina ya Mradi : Design and Supervision

Eneo / Mahali : Dodoma

Muda wa Mkataba : Miezi thelathini na sita

Taarifa zaidi za Mradi

Utoaji wa Huduma za Ushauri Elekezi kwa Mradi wa Ujenzi wa Jengo la Makao Makuu ya Ofisi ya Taifa ya Mashtaka katika Eneo la Njedengwa,Jiji laDodoma.