Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wakala wa Majengo Tanzania (TBA)

Ushauri wa Ujenzi wa Mradi wa Jengo la PPRA katika Kiwanja Nambari 4, Block B, Eneo la NCC-, Dodoma.

Imewekwa: 10 Julai, 2025
Ushauri wa Ujenzi wa Mradi  wa Jengo la PPRA katika Kiwanja Nambari 4, Block B, Eneo la NCC-, Dodoma.

Taarifa za Mradi

Mshitiri/Mteja : Mkurugenzi Mtendaji, Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA).

Gharama : Tsh.5.7 Bilioni

Aina ya Mradi : Supervision/Project Management

Eneo / Mahali : Dodoma

Muda wa Mkataba :

Taarifa zaidi za Mradi