Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wakala wa Majengo Tanzania (TBA)

Ujenzi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Imewekwa: 03 July, 2025
Ujenzi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya  Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Taarifa za Mradi

Mshitiri/Mteja : Ofisi ya Rais

Gharama : Tzs. 18.5 Billion

Aina ya Mradi : Design and Build

Eneo / Mahali : Dodoma

Tarehe ya kuanza : 2021-09-21

Tarehe ya Kumaliza : 2023-03-21


Taarifa zaidi za Mradi

Ujenzi wa ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala Bora