Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wakala wa Majengo Tanzania (TBA)

DIWANI BUIGIRI APONGEZA KAZI ZA TBA, AAHIDI USHIRIKIANO

Imewekwa: 22 June, 2026
DIWANI BUIGIRI APONGEZA KAZI ZA TBA, AAHIDI USHIRIKIANO

Diwani wa Kata ya Buigiri katika Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino  mkoani Dodoma, Mhe. Kenneth Yindi, ametembelea Banda la Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) na kupongeza kazi zinazofanywa na TBA katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya ujenzi nchini.

Mhe. Yindi amesema ameridhishwa na kazi zinazotekelezwa na TBA na kuahidi kuwa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino itaendelea kushirikiana na wakala huyo katika utekelezaji wa miradi mbalimbali itakayotekelezwa katika eneo hilo.

Akimkaribisha katika banda la TBA, Mkurugenzi wa Huduma Saidizi TBA , Bi. Amina Lumuli, amesema halmashauri za wilaya ni miongoni mwa wadau wakubwa wa TBA, ambapo wakala umeendelea kutekeleza miradi mbalimbali ya ujenzi katika halmashauri hizo  

Bi. Lumuli ameeleza kuwa TBA itaendelea kushirikiana na taasisi mbalimbali za Serikali, ikiwemo halmashauri za wilaya, ili kuhakikisha miradi ya ujenzi inatekelezwa kwa viwango vinavyokidhi ubora unaohitajika.

Ms. Lumuli added that TBA will continue working closely with various government institutions, including district councils, to ensure that construction projects are delivered in accordance with the required quality standards.

slot gacor