Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wakala wa Majengo Tanzania (TBA)

MTENDAJI MKUU WA WATUMISHI HOUSING INVESTMENTS ASIFIA MCHANGO WA TBA KATIKA KUCHOCHEA MAENDELEO YA TAIFA

Imewekwa: 09 July, 2026
MTENDAJI MKUU WA WATUMISHI HOUSING INVESTMENTS  ASIFIA MCHANGO WA TBA KATIKA KUCHOCHEA MAENDELEO YA TAIFA

Mkurugenzi Mtendaji wa Watumishi Housing Investments (WHI), Arch. Sephania Solomon, leo Julai 9, 2026, ametembelea banda la Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) katika Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba na kupongeza mchango wa wakala katika ujenzi wa taifa.

Amesema TBA inaendelea kutekeleza jukumu muhimu la kuhakikisha watumishi wa umma wanapata ofisi na makazi bora, huku akibainisha kuwa mahitaji ya nyumba nchini ni makubwa. Amepongeza juhudi zinazoendelea kufanywa na TBA katika kuongeza upatikanaji wa nyumba bora na za kisasa kwa watumishi wa umma.

slot gacor