Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wakala wa Majengo Tanzania (TBA)

MENEJIMENTI YA TBA YAFANYA KIKAO CHA KUJADILI TAARIFA YA UKAGUZI KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025

Imewekwa: 13 August, 2025
MENEJIMENTI YA TBA YAFANYA KIKAO CHA KUJADILI TAARIFA YA UKAGUZI KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025

Menejimenti ya Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) imefanya Kikao chenye lengo la kujadili taarifa ya ukaguzi wa ndani ya robo ya nne kuanzia Aprili - Juni 2025 kwa mwaka wa fedha 2024/25.
Kikao hicho kimefanyika leo Agosti 13, 2025 katika Ukumbi wa Mikutano uliopo Ofisi ndogo za Makao Makuu TBA jijini Dar es Salaam.