TBA YAJADILIANA NA WAWEKEZAJI KAMPUNI YA JIAYOU INTENATIONAL ILI KUWEKEZA TUNDUMA MKOANI SONGWE
TBA YAJADILIANA NA WAWEKEZAJI KAMPUNI YA JIAYOU INTENATIONAL ILI KUWEKEZA TUNDUMA MKOANI SONGWE
Imewekwa: 27 January, 2026
TBA yajadiliana na Wawekezaji wa Kampuni ya jiayou international kuhusu ujenzi wa kituo kikubwa cha kibiashara katika eneo la kwampemba Tunduma Mkoani Songwe