TBA IMEANZA UTEKELEZAJI WA MRADI WA UJENZI WA NYUMBA 150 ZA MAKAZI YA WATUMISHI - DODOMA
Imewekwa: Friday 29, October 2021
WAKALA WA MAJENGO TANZANIA (TBA) UMEANZA UTEKELEZAJI WA MRADI WA UJENZI WA NYUMBA 150 ZA MAKAZI YA WATUMISHI WA UMMA AMBAZO ZINAJENGWA KATIKA ENEO LA NZUGUNI MKOANI DODOMA