MKURUGENZI WA MANISPAA YA KIGAMBONI AUNGANA NA MHE. RAIS KUIPONGEZA TBA KWA KUTEKELEZA MRADI WA UJENZI WA OFISI YA MANISPAA
MHE. RAIS AIPONGEZA TBA KWA KUKAMILISHA MIRADI YA UJENZI WA OFISI KIGAMBONI
Wafanyakazi wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), wametakiwa kubuni Mikakati mipya yenye ubunifu (innovation) ambayo itawawezesha kutekeleza kwa ufanisi malengo yao.
KATIBU MKUU WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO (UJENZI), ARCH. ELIUS MWAKALINGA AZUNGUMZA NA MENEJIMENTI YA WAKALA WA MAJENGO TANZANIA (TBA)
Mafanikio ya TBA katika uongozi wa Serikali ya Awamu ya Tano