Katika Maonesho ya 25 ya Nanenane mkoani Simiyu, watu wengi walivutiwa na Banda pia huduma iliyokuwa inatolewa na TBA kwenye maonyesho hayo
Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) imeshiriki katika Maonyesho ya 25 ya Kilimo, Ufugaji na Uvuvi Kitaifa (Nanenane) yalifanyika katika viwanja vya Nyakabindi-Bariadi mkoani Simiyu kuanzia Agosti 3 hadi Agosti 11, 2018.

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Elias Kwandikwa ameipongeza TBA kwa kazi nzuri inayofanya katika Sekta ya Ujenzi kwa kusimamia na kutekeleza Miradi ya Serikali kwa kuzingatia ubora na kwa gharama nafuu
Wakala wa Majengo Tanzanzia (TBA), kupitia Kikosi cha Ujenzi TBA Brigade, imezidi kujiimarisha kwa kuongeza Magari ambayo yatasaidia kuongeza na kuleta ufanisi katika utendaji kazi