Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wakala wa Majengo Tanzania (TBA)

Magomeni Kota awamu ya Pili A

Imewekwa: 14 November, 2024
Magomeni Kota awamu ya Pili A

Taarifa za Mradi

Mshitiri/Mteja : Mtendaji Mkuu Wakala wa Majengo Tanzania

Gharama : Tsh. 5.6 Bilioni

Aina ya Mradi : Design and Build

Eneo / Mahali : Dar es salaam

Tarehe ya kuanza : 2021-01-12

Tarehe ya Kumaliza : 2022-01-11


Taarifa zaidi za Mradi

Ujenzi wa Nyumba za Makazi  Awamu ya Pili Magomeni Kota Dar es Salaam.