KAIMU MKURUGENZI WA IDARA YA MILIKI AKIFAFANUA JAMBO KATIKA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU UPOTOSHAJI UNAONDELEA WA UPANGISHAJI WA NYUMBA ZA MAKAZI ZA MAGOMENI KOTA. MKUTANO HUO UMEFANYIKA KATIKA UKUMBI WA MIKUTANO WA TBA MAKAO MAKUU AGOSTI 19, 2021.