MHE. WAITARA AKISHIRIKI KUCHANGANYA MCHANGA KATIKA MRADI WA NYUMBA 150 ZA WATUMISHI.
Imewekwa: Wednesday 17, November 2021
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhe. Mwita Waitara akishiriki kuchanganya mchanga katika mradi wa ujenzi wa nyumba 150 kwa ajili ya watumishi wa umma unaoendelea eneo la Nzuguni 'B' - Dodoma. ziara hiyo imefanyika Novemba 17, 2021 Mkoani Dodoma.