• Maswali
  • Wasiliana Nasi
  • English

Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaWakala wa Majengo Tanzania

  • kuhusu Sisi
    • Ujumbe kutoka kwa Mtendaji Mkuu
    • Sisi ni Nani
    • Dira na Dhamira
    • Tunafanya Nini
    • Mikakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Bodi ya Ushauri
    • Muundo wa Taasisi
    • Senior Management
    • Kurugenzi wa Uwezeshaji wa Huduma
    • Kurugenzi ya Ushauri
    • Kurugenzi ya Ujenzi
    • Kurugenzi ya Miliki
    • Meneja wa Mikoa
  • Nyumba
    • Nyumba za Kuuza
    • Nyumba za Kupangisha
    • Fomu ya Ununuzi wa Nyumba
    • Fomu ya ununuzi wa Nyumba
  • Miradi
    • Miradi Tunayoishikilia
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Iliyo Katika usanifu
    • Miradi Tunayotegemea kufanya
  • Machapisho
    • Machapisho
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
  • Ununuzi
    • Mpango wa Manunuzi wa Mwaka
    • Mialiko ya zabuni
    • Orodha ya Wazabuni Walioshinda

Habari Mpya

  • SERIKALI YAFUNGUA MILANGO YA UWEKEZAJI KWENYE UJENZI WA NYUMBA ZA MAKAZI

    tokea mwezi 1
  • MENEJIMENTI YA TBA YAHIMIZWA KUKUTANA MARA KWA MARA.

    tokea mwezi 1
  • TBA YAKUTANA NA WAWEKEZAJI KUTOKA JAPAN.

    tokea mwezi 1
  • TBA NA ZBA KUENDELEZA MASHIRIKIANO

    tokea mwezi 1

Latest Press Release

PAC YATEMBELEA MRADI WA TEMEKE KOTA

Imewekwa: Tuesday 28, March 2023

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imetembelea na kukagua mradi wa ujenzi wa nyumba za Makazi ya Watumishi wa Umma wa Temeke Kota jijini Dar es Salaam.

Mara baada yakupokea taarifa ya utekelezaji wa mradi, Kamati hiyo ilitembelea eneo la mradi na kuona hatua iliyofikiwa katika utekelezaji wa mradi huo.

Akizungumza baada ya kutembelea mradi huo Makamu wa Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Isack Kamwelwe (Mb) amesema TBA inatekeleza mradi huo kwa fedha kutoka Serikalini.

"Ni muhumu jamaii ikaelewa kuwa kwa mwaka wa fedha 2022/23 TBA imepokea fedha kiasi cha shilingi bilioni 4.3 kwa ajili kuendelea na utekelezaji wa mradi huu. Aidha, fedha zilizotolewa na Serikali kwa wakati huu ni kwa ajili ya jengo moja la ghorofa tisa (9) lenye uwezo wa kuchukua familia 144”. amesema Kamwelwe.

Vile vile Mhe. Kamwelwe amesema Kamati imeridhishwa na hatua iliyofikia katika utekelezaji wa mradi huo na inatarajia kuwa Serikali itatoa fedha zitakazokamilisha mpango wa ujenzi kama ilivyokusudiwa pamoja na kuzingatia mahitaji msingi ya ujenzi wa mradi huo.

Kwa upande wake Mtendaji Mkuu wa TBA Arch. Daud Kondoro amesema TBA imewasilisha taarifa yake na kujadiliwa vyema na kamati hiyo ikiwa ni pamoja kupokea maelekezo kwa lengo la kufanikisha utekelezaji ambao umefikia 19%.

Mradi wa ujenzi wa nyumba za makazi kwa ajili ya Watumishi wa Umma katika eneo la Temeke Kota unatekelezwa na TBA kama Mkandarasi na Mshauri Elekezi.

Tanzania Census 2022

Mawasiliano yetu

TBA
THE CHIEF EXECUTIVE, TANZANIA BUILDINGS AGENCY (TBA), 13 MOROGORO ROAD, P.O BOX 94, 41102 VIWANDANI, DODOMA TANZANIA, EMAIL: ce@tba.go.tz Website: www.tba.go.tz
Nukushi :
Namba ya Simu : +255 733 483 437, +255 677 108 010
Barua Pepe : barua@tba.go.tz

Linki za Haraka

Linki Linganifu

  • WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
  • Utumishi
  • Tume ya Takwimu ya Taifa
  • Tume ya Ajira

©2025 wakala wa majengo tanzania . Haki zote zimehifadhiwa..

Imesanifiwa, Imetengenezwa na Mamlaka ya Serikali Mtandao.Inaendeshwa na Wakala ya Majengo Tanzania