• Maswali
  • Wasiliana Nasi
  • English

Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaWakala wa Majengo Tanzania

  • kuhusu Sisi
    • Ujumbe kutoka kwa Mtendaji Mkuu
    • Sisi ni Nani
    • Dira na Dhamira
    • Tunafanya Nini
    • Mikakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Bodi ya Ushauri
    • Muundo wa Taasisi
    • Senior Management
    • Kurugenzi wa Uwezeshaji wa Huduma
    • Kurugenzi ya Ushauri
    • Kurugenzi ya Ujenzi
    • Kurugenzi ya Miliki
    • Meneja wa Mikoa
  • Nyumba
    • Nyumba za Kuuza
    • Nyumba za Kupangisha
    • Fomu ya Ununuzi wa Nyumba
    • Fomu ya ununuzi wa Nyumba
  • Miradi
    • Miradi Tunayoishikilia
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Iliyo Katika usanifu
    • Miradi Tunayotegemea kufanya
  • Machapisho
    • Machapisho
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
  • Ununuzi
    • Mpango wa Manunuzi wa Mwaka
    • Mialiko ya zabuni
    • Orodha ya Wazabuni Walioshinda

Habari Mpya

  • SERIKALI YAFUNGUA MILANGO YA UWEKEZAJI KWENYE UJENZI WA NYUMBA ZA MAKAZI

    tokea mwezi 1
  • MENEJIMENTI YA TBA YAHIMIZWA KUKUTANA MARA KWA MARA.

    tokea miezi 2
  • TBA YAKUTANA NA WAWEKEZAJI KUTOKA JAPAN.

    tokea miezi 2
  • TBA NA ZBA KUENDELEZA MASHIRIKIANO

    tokea miezi 2

Latest Press Release

RAIS SAMIA AAHIDI HOSPITALI RUFAA YA KANDA CHATO KUJENGWA KAMA ILIVYOKUSUDIWA.

Imewekwa: Thursday 20, October 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameahidi Hospitali Rufaa ya Kanda - Chato kujengwa kama ilivyokusudiwa

Rais Samia ametoa ahadi hiyo katika ziara yake ya kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda - Chato

"Hospitali hii mpaka sasa majengo matano yapo tayari Niwahakikishie tutaijenga kama ilivyokusudiwa, wataalamu wakutosha wamesha letwa na tutaendelea kuwaleta" Amesema Rais Samia

Aidha Rais Samia amewataka Wana Chato kujitokeza kwa wingi kujiunga na Bima ya Afya kwa wote pindi itakapoanza kufanya kazi ili kupata Huduma bora za afya katika Hospitali hiyo kwa gharama zilizo ndani ya Bima hiyo.

"Niwaombe sana tutakapo kuja na mfumo wa Bima ya Afya kwa wote, wote tukanunue bima ni kupitia bima hizo tunaweza tukaboresha zaidi huduma hizi za afya" Amesema Rais Samia

Ujenzi wa Majengo ya Hospitali ya Rufaa ya kanda - Chato yamebuniwa na kujengwa na TBA kama Mkandarasi na Mshauri Elekezi.

Tanzania Census 2022

Mawasiliano yetu

TBA
THE CHIEF EXECUTIVE, TANZANIA BUILDINGS AGENCY (TBA), 13 MOROGORO ROAD, P.O BOX 94, 41102 VIWANDANI, DODOMA TANZANIA, EMAIL: ce@tba.go.tz Website: www.tba.go.tz
Nukushi :
Namba ya Simu : +255 733 483 437, +255 677 108 010
Barua Pepe : barua@tba.go.tz

Linki za Haraka

Linki Linganifu

  • WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
  • Utumishi
  • Tume ya Takwimu ya Taifa
  • Tume ya Ajira

©2025 wakala wa majengo tanzania . Haki zote zimehifadhiwa..

Imesanifiwa, Imetengenezwa na Mamlaka ya Serikali Mtandao.Inaendeshwa na Wakala ya Majengo Tanzania