• Maswali
  • Wasiliana Nasi
  • English

Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaWakala wa Majengo Tanzania

  • kuhusu Sisi
    • Ujumbe kutoka kwa Mtendaji Mkuu
    • Sisi ni Nani
    • Dira na Dhamira
    • Tunafanya Nini
    • Mikakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Bodi ya Ushauri
    • Muundo wa Taasisi
    • Senior Management
    • Kurugenzi wa Uwezeshaji wa Huduma
    • Kurugenzi ya Ushauri
    • Kurugenzi ya Ujenzi
    • Kurugenzi ya Miliki
    • Meneja wa Mikoa
  • Nyumba
    • Nyumba za Kuuza
    • Nyumba za Kupangisha
    • Fomu ya Ununuzi wa Nyumba
    • Fomu ya ununuzi wa Nyumba
  • Miradi
    • Miradi Tunayoishikilia
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Iliyo Katika usanifu
    • Miradi Tunayotegemea kufanya
  • Machapisho
    • Machapisho
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
  • Ununuzi
    • Mpango wa Manunuzi wa Mwaka
    • Mialiko ya zabuni
    • Orodha ya Wazabuni Walioshinda

Habari Mpya

  • PROF. MBARAWA AIPONGEZA TBA UFUNGUZI WA MAJENGO YA KISASA DAR ES SALAAM

    tokea siku 2
  • PAC YATEMBELEA MRADI WA TEMEKE KOTA

    tokea siku 3
  • KAMATI YA BUNGE YAITAKA WIZARA YA UJENZI KUISAIDIA TBA.

    tokea wiki 1
  • BODI YA USHAURI YA TBA YATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA TEMEKE KOTA.

    tokea wiki 2

Latest Press Release

SERIKALI IMEENDELEA KUIWEZESHA TBA - ARCH. DKT. OMBENI.

Imewekwa: Wednesday 21, December 2022

Leo Desemba 16, 2022 Bodi ya Ushauri ya TBA ikiongozwa na Mwenyekiti wake Arch. Dkt. Ombeni Swai imefanya ziara ya kutembelea na kukagua miradi inayotekelezwa na TBA jijini Dar es Salaam.

Akizungumza mara baada ya kutembelea miradi hiyo Mwenyekiti wa Bodi hiyo, Arch. Dkt. Swai ameishukuru Serikali ya Awamu sita inayoongozwa na Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kutoa fedha kwa TBA kufanikisha utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa nyumba za makazi kwa watumishi wa Umma ambapo kupitia miradi hiyo itasaidia kupunguza changamoto ya uhaba wa makazi kwa watumishi wa umma.

Vile vile, Arch. Dkt. Swai ameipongeza TBA kwa kuendelea kutumia Wataalamu wa ndani ambao wametokana na vyuo vilivyopo hapa nchini. Amesema kwa kufanya hivyo TBA inakuza ujuzi na uwezo kwa watalaam hao ambao ni tegemeo kwa taifa.

Pamoja na mambo mengine Arch.Dkt. Swai ameitaka TBA kujiendesha kibiashara ili kuongeza mapato na ushindani katika Soko ambapo amesema kwa kufanya hivyo itaisaidia TBA kujipatia mapato ya kutosha na kufanikisha utekelezaji wa miradi mingi ya ujenzi wa nyumba za makazi katika maeneo mengi nchini.

Bodi hiyo imetembelea miradi mbalimbali ikijumuisha mradi wa ujenzi wa nyumba za makazi katika eneo la Magomeni na Kijiji Cha Canadian, Masaki jijini Dar es Salaam.

Tanzania Census 2022

Mawasiliano yetu

TBA
THE CHIEF EXECUTIVE, TANZANIA BUILDINGS AGENCY (TBA), 13 MOROGORO ROAD, P.O BOX 94, 41102 VIWANDANI, DODOMA TANZANIA, EMAIL: ce@tba.go.tz Website: www.tba.go.tz
Nukushi :
Namba ya Simu : +255 733 483 437, +255 677 108 010
Barua Pepe : barua@tba.go.tz

Linki za Haraka

Linki Linganifu

  • WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
  • Utumishi
  • Tume ya Takwimu ya Taifa
  • Tume ya Ajira

©2023 wakala wa majengo tanzania . Haki zote zimehifadhiwa..

Imesanifiwa, Imetengenezwa na Mamlaka ya Serikali Mtandao.Inaendeshwa na Wakala ya Majengo Tanzania