• Maswali
  • Wasiliana Nasi
  • English

Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaWakala wa Majengo Tanzania

  • kuhusu Sisi
    • Ujumbe kutoka kwa Mtendaji Mkuu
    • Sisi ni Nani
    • Dira na Dhamira
    • Tunafanya Nini
    • Mikakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Bodi ya Ushauri
    • Muundo wa Taasisi
    • Senior Management
    • Kurugenzi wa Uwezeshaji wa Huduma
    • Kurugenzi ya Ushauri
    • Kurugenzi ya Ujenzi
    • Kurugenzi ya Miliki
    • Meneja wa Mikoa
  • Nyumba
    • Nyumba za Kuuza
    • Nyumba za Kupangisha
    • Fomu ya Ununuzi wa Nyumba
    • Fomu ya ununuzi wa Nyumba
  • Miradi
    • Miradi Tunayoishikilia
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Iliyo Katika usanifu
    • Miradi Tunayotegemea kufanya
  • Machapisho
    • Machapisho
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
  • Ununuzi
    • Mpango wa Manunuzi wa Mwaka
    • Mialiko ya zabuni
    • Orodha ya Wazabuni Walioshinda

Habari Mpya

  • SERIKALI YAFUNGUA MILANGO YA UWEKEZAJI KWENYE UJENZI WA NYUMBA ZA MAKAZI

    tokea mwezi 1
  • MENEJIMENTI YA TBA YAHIMIZWA KUKUTANA MARA KWA MARA.

    tokea mwezi 1
  • TBA YAKUTANA NA WAWEKEZAJI KUTOKA JAPAN.

    tokea mwezi 1
  • TBA NA ZBA KUENDELEZA MASHIRIKIANO

    tokea mwezi 1

Latest Press Release

TBA YATOA TUZO KWA WATENDAJI WAKUU WASTAAFU.

Imewekwa: Wednesday 06, September 2023

Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) umefanya tafrija fupi na kuwakabidhi Tuzo ya Pongezi Watendaji Wakuu wastaafu kama sehemu ya kutambua mchango wao wakati wa utumishi wao.

Akizungumza wakati wa Tafrija hiyo Mtendaji Mkuu wa TBA Arch. Daud Kondoro amewashukuru Watendaji Wakuu hao wastafu kwa kukubali kujumuika pamoja na wana TBA waliopo kazini. Pia Arch. Kondoro amewashukuru kwa kuweka misingi mizuri inayowawezesha waliopo kazini kuendeleza yale yote yaliyoachwa na watangulizi wake.

Aidha, Arch. Kondoro amewaeleza jitihadi zinazofanywa na Serikali ya Awamu ya sita chini ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan zinazopelekea kutekelezwa kwa miradi mingi zaidi ikiwa ni pamoja na mradi ya ujenzi wa nyumba 3500 katika eneo la Nzuguni jijini Dodoma ambapo kwa heshima mitaa imepewa majina yao amesema Arch. Kondoro.

Akizungumza katika tafrija hiyo, Arch. Makumba Togalai Kimweri aliyewahi kuwa Mtendaji Mkuu wa TBA kati ya mwaka 2002 mpaka 2011 amesema, “Nashukuru kwa kutukumbuka. Nilikaribishwa Arusha kwenye hafla ya ufunguzi wa Jengo la Makazi la Kibiashara. Nilifurahi kuona miradi niliyoiacha inakamilishwa. Tumuunge sana mkono Mtendaji Mkuu kwenye nafasi yake. Niwatakie heri sana kwa kazi mnaiyoifanya.”

Naye CEng. John Ainainyi Njau aliyewahi kuwa Mtendaji Mkuu wa TBA kati ya mwaka 2011 na 2012 amesema, “Mnafanya vizuri zaidi ya tulivyofanya kuendeleza taifa letu. Tunajivunia sana kwa mnachoendelea kufanya.”

Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) imefanya tafrija na kutoa Tuzo ya Pongezi kama ishara ya kuenzi mchango na msingi mzuri ulioachwa na viongozi hao wastaafu.

Tanzania Census 2022

Mawasiliano yetu

TBA
THE CHIEF EXECUTIVE, TANZANIA BUILDINGS AGENCY (TBA), 13 MOROGORO ROAD, P.O BOX 94, 41102 VIWANDANI, DODOMA TANZANIA, EMAIL: ce@tba.go.tz Website: www.tba.go.tz
Nukushi :
Namba ya Simu : +255 733 483 437, +255 677 108 010
Barua Pepe : barua@tba.go.tz

Linki za Haraka

Linki Linganifu

  • WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
  • Utumishi
  • Tume ya Takwimu ya Taifa
  • Tume ya Ajira

©2025 wakala wa majengo tanzania . Haki zote zimehifadhiwa..

Imesanifiwa, Imetengenezwa na Mamlaka ya Serikali Mtandao.Inaendeshwa na Wakala ya Majengo Tanzania