Mahali: Mikoa mbalimbali ya Tanzania
Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) inatekeleza mrad wa ukarabati wa shule 10 kongwe za Sekondari Tanzania. Shule hizo ni Shule ya sekondari Kigoma, Malangali, Tosamaganga, Shule ya wasichana Songea, Jangwani, Azania, Nangwa, Minaki, Kibaha na Milambo.