Mahali: Mikoa mbalimbali ya Tanzania
Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) inatekeleza Mradi wa Ujenzi wa Ofisi na Nyumba za Makazi ya baadhi ya Wakuu wa Wilaya na Mikoa mbalimbali ya Tanzania. Pia Nyumba zingine zinakarabatiwa.Baadhi ya Nyumba za Wakuu wa Mikoa zinazojengwa ni Nyumba ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Simiyu, Njombe. Na nyumba za wakuu wa Wilaya ni; Wilaya ya Kakonko, Nyasa, Uvinza, Momba, Mwanga na Same