Mahali: Mikoa mbalimbali ya Tanzania
Wakala wa Majeno Tanzania (TBA) inaendelea kutekeleza mirad mbalimbali ya ujenzi katika mikoa ya Tanzania. Kwa sasa inatekelza mradi wa ujenzi wa Hospitali za Rufaa za Mikoa ya Simiyu na Geita pia ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Wilaya ya Chato. Kukamilika kwa ujenzi huu kutasaidia kuhudumia wakazi wa mikoa ya Kanda ya Ziwa na mikoa jirani.