Aliekua Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi, ambae ni Raisi wa sasa wa Tanzania, Dr.John Pombe magufuli akizindua jengo la makazi ya watumishi wa Umma lililopo eneo la Mbezi Beach,Dar es Salaam.