Mtendaji Mkuu wa TBA Arch. Daud Kondoro akimkabidhi zawadi Mhandisi Jasper Lugemarila Mwenyekiti wa Kamati ya Ukaguzi aliyemaliza muda wake.