• Maswali
  • Wasiliana Nasi
  • English

Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaWakala wa Majengo Tanzania

  • kuhusu Sisi
    • Ujumbe kutoka kwa Mtendaji Mkuu
    • Sisi ni Nani
    • Dira na Dhamira
    • Tunafanya Nini
    • Mikakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Bodi ya Ushauri
    • Muundo wa Taasisi
    • Senior Management
    • Kurugenzi wa Uwezeshaji wa Huduma
    • Kurugenzi ya Ushauri
    • Kurugenzi ya Ujenzi
    • Kurugenzi ya Miliki
    • Meneja wa Mikoa
  • Nyumba
    • Nyumba za Kuuza
    • Nyumba za Kupangisha
    • Fomu ya Ununuzi wa Nyumba
    • Fomu ya ununuzi wa Nyumba
  • Miradi
    • Miradi Tunayoishikilia
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Iliyo Katika usanifu
    • Miradi Tunayotegemea kufanya
  • Machapisho
    • Machapisho
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
  • Ununuzi
    • Mpango wa Manunuzi wa Mwaka
    • Mialiko ya zabuni
    • Orodha ya Wazabuni Walioshinda

Habari Mpya

  • WAFANYAKAZI WA TBA WASHIRIKI UDSM MARATHON

    tokea siku 3
  • TBA YAANZA KUWAONDOA WADAIWA SUGU DAR ES SALAAM.

    tokea siku 4
  • TBA KUWACHUKULIA HATUA KALI WADAIWA SUGU.

    tokea wiki 2
  • TBA YAINGIA MAKUBALIANO KUSHIRIKIANA NA ZBA.

    tokea wiki 2

Latest Press Release

RC SENYAMULE ATEMBELEA MRADI WA MJI WA SERIKALI DODOMA

Imewekwa: Tuesday 14, November 2023

Mkuu wa mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amefanya ziara ya kutembelea Mradi wa ujenzi wa Mji wa Serikali unaotekelezwa katika eneo la Mtumba Jijini Dodoma.

Kupitia ziara hiyo, RC Senyamule amesema mkoa wa Dodoma umepata fursa ya kuwa na Mji wa Serikali ambao ni sehemu ya kivutio kwa watu ambao wanakuja mkoani Dodoma hivyo utaongeza utalii na kukuza uchumi.

Akikagua Jengo la Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na utawala bora ambalo limefikia zaidi ya asilimia 95 za utekelezaji, RC Senyamule amesema,

"Jengo hili limefikia hatua za mwisho hivyo ni muhimu Wakandarasi kuhakikisha wanakamilisha kwa wakati, nimeona miundombinu ya kisasa sambamba na upandaji wa miti ambayo inapendezesha eneo hili, pia nimeona barabara za lami zinazounganisha eneo hili la mradi".

Kwa upande wake Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. Juma Mkomi amemtaka Mkandarasi wa jengo hilo ambaye ni Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) na Mshauri Elekezi Watumishi Housing kuhakikisha wanakamilisha mradi katika kipindi husika ili kuendana na maelekezo ya Serikali.

Naye, Kaimu Meneja Sehemu ya Ujenzi kutoka TBA Mhandisi Manase Shekalaghe amesema wamejipanga kukamilisha mradi huo kwa wakati ambapo hadi sasa kazi zinafanyika usiku na mchana ili kuendana na maelekezo yaliyotolewa na Serikali

Tanzania Census 2022

Mawasiliano yetu

TBA
THE CHIEF EXECUTIVE, TANZANIA BUILDINGS AGENCY (TBA), 13 MOROGORO ROAD, P.O BOX 94, 41102 VIWANDANI, DODOMA TANZANIA, EMAIL: ce@tba.go.tz Website: www.tba.go.tz
Nukushi :
Namba ya Simu : +255 733 483 437, +255 677 108 010
Barua Pepe : barua@tba.go.tz

Linki za Haraka

Linki Linganifu

  • WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
  • Utumishi
  • Tume ya Takwimu ya Taifa
  • Tume ya Ajira

©2023 wakala wa majengo tanzania . Haki zote zimehifadhiwa..

Imesanifiwa, Imetengenezwa na Mamlaka ya Serikali Mtandao.Inaendeshwa na Wakala ya Majengo Tanzania