• Maswali
  • Wasiliana Nasi
  • English

Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaWakala wa Majengo Tanzania

  • kuhusu Sisi
    • Ujumbe kutoka kwa Mtendaji Mkuu
    • Sisi ni Nani
    • Dira na Dhamira
    • Tunafanya Nini
    • Mikakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Bodi ya Ushauri
    • Muundo wa Taasisi
    • Senior Management
    • Kurugenzi wa Uwezeshaji wa Huduma
    • Kurugenzi ya Ushauri
    • Kurugenzi ya Ujenzi
    • Kurugenzi ya Miliki
    • Meneja wa Mikoa
  • Nyumba
    • Nyumba za Kuuza
    • Nyumba za Kupangisha
    • Fomu ya Ununuzi wa Nyumba
    • Fomu ya ununuzi wa Nyumba
  • Miradi
    • Miradi Tunayoishikilia
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Iliyo Katika usanifu
    • Miradi Tunayotegemea kufanya
  • Machapisho
    • Machapisho
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
  • Ununuzi
    • Mpango wa Manunuzi wa Mwaka
    • Mialiko ya zabuni
    • Orodha ya Wazabuni Walioshinda

Habari Mpya

  • SERIKALI YAFUNGUA MILANGO YA UWEKEZAJI KWENYE UJENZI WA NYUMBA ZA MAKAZI

    tokea mwezi 1
  • MENEJIMENTI YA TBA YAHIMIZWA KUKUTANA MARA KWA MARA.

    tokea mwezi 1
  • TBA YAKUTANA NA WAWEKEZAJI KUTOKA JAPAN.

    tokea mwezi 1
  • TBA NA ZBA KUENDELEZA MASHIRIKIANO

    tokea mwezi 1

Latest Press Release

WANAFUNZI UDSM WATEMBELEA TBA DODOMA.

Imewekwa: Friday 26, January 2024

Wanafunzi 13 wa kozi ya Ubunifu Majengo (Architecture), kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) wametembelea Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) kwa lengo la kujifunza na kuona miradi inayotekelezwa na TBA katika mkoa wa Dodoma.

Wanafunzi hao, wanaosoma mwaka wa nne, wameweza kuona ofisi za wizara mbalimbali zinazojengwa katika mji wa Serikali eneo la Mtumba na kuvutiwa usanifu na mpangilio wake. Akiongea katika ziara hiyo, Meneja wa TBA mkoa wa Dodoma, Qs. Emmanuel Wambura, amesema miradi yote inayotekelezwa na TBA inazingatia ubora na usalama kwa watumiaji.

"Kabla ya kuanza ujenzi wa mji wa serikali, tulishirikiana na taasisi nyingine kufanya utafiti katika eneo lote la mji huu na kubaini sehemu za kujenga majengo hayo ambayo yamezingatia usalama kwa watumiaji" amesisitiza Qs. Wambura.

Nao wanafunzi Dorina Ngonde, Lusungu Mgole na Prisilla Kiagi kwa niaba ya wenzao, wameeza kuvutiwa na miradi ya TBA kuanzia kwenye usanifu na hata ujenzi wake. Wamebainisha kuwa majengo na miundombinu mingine ya mji wa serikali imeakisi ubunifu mzuri uliofanyika. Pamoja na kutembelea mji wa serikali pia walipata kujifunza kuhusu historia ya TBA na kazi zake ukiwepo mradi wa ujenzi wa nyumba 3500 za makazi ya watumishi wa umma unaotekelezwa katika eneo la Nzuguni.

Naye Arch. Sylivia Munisi, mwalimu aliyeambatana na wanafunzi hao, ameshukuru uongozi wa TBA kwa kuwapokea na kuwapa ushirikiano wa kutosha hali iliyopelekea kufahamu shughuli mbalimbali zinazotekelezwa na Wakala wa Majengo Tanzania (TBA).

Tanzania Census 2022

Mawasiliano yetu

TBA
THE CHIEF EXECUTIVE, TANZANIA BUILDINGS AGENCY (TBA), 13 MOROGORO ROAD, P.O BOX 94, 41102 VIWANDANI, DODOMA TANZANIA, EMAIL: ce@tba.go.tz Website: www.tba.go.tz
Nukushi :
Namba ya Simu : +255 733 483 437, +255 677 108 010
Barua Pepe : barua@tba.go.tz

Linki za Haraka

Linki Linganifu

  • WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
  • Utumishi
  • Tume ya Takwimu ya Taifa
  • Tume ya Ajira

©2025 wakala wa majengo tanzania . Haki zote zimehifadhiwa..

Imesanifiwa, Imetengenezwa na Mamlaka ya Serikali Mtandao.Inaendeshwa na Wakala ya Majengo Tanzania