UJENZI WA JENGO LA TUME YA MAADILI UNATEGEMEA KUKAMILIKA HIVI KARIBUNI.
Imewekwa: Tuesday 05, April 2022
Ujenzi wa jengo la Tume ya maadili unategemea kukamiliki mwezi Desemba 2022 na hadi kufikia sasa umeweza kutoa ajira kwa mafundi 200, vibarua 500 pamoja na Mama na Baba lishe zaidi ya 20 ambao wote wanajipatia kipato kupitia Ujenzi huu unaoendelea.