Ziara ya Kamati ya Mawasiliano, Ardhi na Nishati ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar kuitembelea TBA kwa lengo la kufahamu utendaji kazi wake ikiwa ni pamoja na kutembelea miradi inayotekelezwa na TBA jijini Dodoma.
Miradi hiyo inajumuish mradi wa ujenzi wa nyumba 20 za viongozi, ujenzi wa nyumba 3500 wa nyumba za watumishi wa umma Nzuguni B na Mradi wa Ujenzi wa Mji wa Serikali Mtumba awamu ya pili.