TBA iko katika ujenzi wa Hospitali za Rufaa za Mikoa ya Simiyu na Geita pia inatekeleza ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Wilaya ya Chato.
Ukarabati wa shule Kongwe za Sekondari katika mikoa mbalimbali ya Tanzania
Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) inatekeleza Mradi wa Ujenzi wa Ofisi na Nyumba za Makazi ya baadhi ya Wakuu wa Wilaya na Mikoa mbalimbali ya Tanzania.
Ujenzi wa Ofisi za Halmashauri mbalimbali za Wilaya katika mikoa ya Tanzania