Wanawake wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) walipata fursa ya kushiriki maadhimisho ya siku ya wanawake duniani Machi 8, 2020 katika maeneo mbalimbali nchini.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ametembelea jengo la Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu na kuridhishwa na kazi iliyofanywa na TBA katika kukamilisha mradi wa ujenzi wa majengo hayo.
Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), umeahidi kusaidia Ujenzi na Ukarabati wa Majengo katika Shule ya Sekondari Juhudi iliyopo eneo la Gongo la Mboto, Ilala Jijini Dar es Salaam.
MENEJA WA TBA AFAFANUA MIRADI INAYOTEKELEZWA MKOANI ARUSHA
MKURUGENZI WA MANISPAA YA KIGAMBONI AUNGANA NA MHE. RAIS KUIPONGEZA TBA KWA KUTEKELEZA MRADI WA UJENZI WA OFISI YA MANISPAA